Zoezi la Upandaji Miti Miaka 10 Ya Benignis Girls Sec Shool
Misa ya Upadrisho na Ushemasi Kanisa kuu la Mt.Andrea Ifakara
Mhashamu Askofu Salutarisi Libena pamoja na baadhi ya wawakilishi wa watoto 116 waliopata Kipaimara
Mhashamu Askofu Salutaris Libena Kutoka Kulia Akiwa na Mkuu wa Wialaya ya Kilombero wakati wa uwekwaji wa Jiwe la msingi
Adhimisho la Misa ya Shukrani ya Mavuno Dekania ya Mlimba
Mhashamu Askofu Salutaris Libena pichani Pamoja na Pd. Bundala mara baada ya Kupata Daraja Takatifu la Upadri
Jimbo Katoliki Ifakara kwa mara ya kwanza limekutana na kufanya Ibada ya Hija ya Kijimbo na Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Kutukuka kwa Msalaba katika Parokia ya Bikira Maria Bibi yetu wa Kiberege
Padre Chrispin Tulutulu akipakwa Mafuta Matakatifu
Wahitimu wakila kiapo cha utii kutumika kazini mbele ya Mganga mkuu wa Wilaya kablay Mgeni rasmi hajawatunuku vyeti na zawadi.
Askofu Mkuu wa jimbo katoliki la Ifakara Mhashamu Askofu Salutaris Libena Akikata Utepe wa kuzindua Rasmi Grotto ilo la Mama Bikira Maria
Maandamo ya Ekarist Takatifu Kuelekea Hospitali ya Rufaa ya Mt.Fransisko kwaajili ya kuwaombea wagonjwa na wale wote wasiojiweza
Matukio mbalimbali ya Picha katika Adhimisho la Misa Takatifu ya kubariki Mafuta ya Wakatukumeni, Wagonjwa na kuweka Wakfu Krisma Takatifu...
Pichani ni Walimu wa Somo la Hisabati wakionyesha mahili kwa Kufaragua nyenzo mbalimbali za kufundishia somo la hisabati Katika mafunzo ya Utekelezaji wa Mtaala Unaozingatia Mahili kwa Mwanafunzi
Misa takatifu na tafakari ya pamoja ya watumishi wa Jimbo kwa ajili ya Ujumbe wa KWARESIMA Iliofanyika 21/02/2023 .Ujumbe wa pamoja "TUNAWAOMBEA MJALIWE KUFANYWA IMARA KATIKA UTU ... "