Misa ya Upadrisho na Ushemasi Kanisa kuu la Mt.Andrea Ifakara
Published date, 2023-12-14Pongezi kwa Shem.Boniface Mwanja kwa Daraja Takatifu la Upadre, Tunawaombea pia Frt.Paul Subert, Frt. Paschal Nakwawa pamoja na Frt.Nestory Kibofu katika daraja la Ushemasi kuweza pia kufikia Daraja Takatifu la Upadre.
wasiliana nasiZoezi la Upandaji Miti Miaka 10 Ya Benignis Girls Sec Shool
Misa ya Upadrisho na Ushemasi Kanisa kuu la Mt.Andrea Ifakara
Mhashamu Askofu Salutarisi Libena pamoja na baadhi ya wawakilishi wa watoto 116 waliopata Kipaimara
Mhashamu Askofu Salutaris Libena Kutoka Kulia Akiwa na Mkuu wa Wialaya ya Kilombero wakati wa uwekwaji wa Jiwe la msingi
Adhimisho la Misa ya Shukrani ya Mavuno Dekania ya Mlimba
Mhashamu Askofu Salutaris Libena pichani Pamoja na Pd. Bundala mara baada ya Kupata Daraja Takatifu la Upadri
Jimbo Katoliki Ifakara kwa mara ya kwanza limekutana na kufanya Ibada ya Hija ya Kijimbo na Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Kutukuka kwa Msalaba katika Parokia ya Bikira Maria Bibi yetu wa Kiberege