Matukio mbalimbali ya Picha katika Adhimisho la Misa Takatifu ya kubariki Mafuta ya Wakatukumeni, Wagonjwa na kuweka Wakfu Krisma Takatifu...
Published date,Matukio mbalimbali ya Picha katika Adhimisho la Misa Takatifu ya kubariki Mafuta ya Wakatukumeni, Wagonjwa na kuweka Wakfu Krisma Takatifu kutoka Parokia ya Kanisa Kuu Mtakatifu Andrea Mtume, Jimbo Katoliki Ifakara. Misa inaadhimishwa na Mhashamu Salutaris Libena Askofu wa Jimbo Katoliki Ifakara. . .
wasiliana nasiZoezi la Upandaji Miti Miaka 10 Ya Benignis Girls Sec Shool
Misa ya Upadrisho na Ushemasi Kanisa kuu la Mt.Andrea Ifakara
Mhashamu Askofu Salutarisi Libena pamoja na baadhi ya wawakilishi wa watoto 116 waliopata Kipaimara
Mhashamu Askofu Salutaris Libena Kutoka Kulia Akiwa na Mkuu wa Wialaya ya Kilombero wakati wa uwekwaji wa Jiwe la msingi
Adhimisho la Misa ya Shukrani ya Mavuno Dekania ya Mlimba
Mhashamu Askofu Salutaris Libena pichani Pamoja na Pd. Bundala mara baada ya Kupata Daraja Takatifu la Upadri
Jimbo Katoliki Ifakara kwa mara ya kwanza limekutana na kufanya Ibada ya Hija ya Kijimbo na Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Kutukuka kwa Msalaba katika Parokia ya Bikira Maria Bibi yetu wa Kiberege