Kilombero/Morogoro Tanzania ifakaradiocese@gmail.com Ifakara Portal
Follow us:

Mafunzo ya Mtaala Kitaaluma kwa walimu (In-service Training) yaliyofanyika December 2022 Mbingu Sisters Center

Pichani ni Walimu wa Somo la Hisabati wakionyesha mahili kwa Kufaragua nyenzo mbalimbali za kufundishia somo la hisabati Katika mafunzo ya Utekelezaji wa Mtaala Unaozingatia Mahili kwa Mwanafunzi

Published date,

Mafunzo ya walimu kazini kuhusu namna bora ya utekelezaji wa Mtaala wa Elimu unaozingatia Ujuzi na Umahili (Competence based curriculum) kwa mwanafunzi. Mafunzo yalitolewa kwa muda wa siku sita kuanzia tarehe 12-17||December ||2022 Mbingu Sisters Center kwa walimu wote wanaofundisha katika shule zilizopo chini ya Jimbo Katoriki Ifakara na kuendelea kwa miezi mitatu ya ufuatiliaji wa karibu katika mazingira halisi ya vituo vya kazi kwa walimu. Mgeni Rasmi alikuwa Mhashamu Baba Askofu Salutaris Libena Wa Jimbo Kuu la Ifakara.

wasiliana nasi

Habari na Matukio zilizopita

Habari
MIAKA 10 YA BENIGNIS GIRLS SEC SCHOOL

Zoezi la Upandaji Miti Miaka 10 Ya Benignis Girls Sec Shool

Habari
Misa Ya Upadrisho na Ushemasi

Misa ya Upadrisho na Ushemasi Kanisa kuu la Mt.Andrea Ifakara

Habari
Kilele cha Adhimisho la Misa ya Shukrani ya Mavuno Dekania ya Mchombe

Mhashamu Askofu Salutarisi Libena pamoja na baadhi ya wawakilishi wa watoto 116 waliopata Kipaimara

Habari
Misa Ya Shukrani Mwaka Moja wa Parokia Ya Mt.Yahana Mbatizaji V/60

Mhashamu Askofu Salutaris Libena Kutoka Kulia Akiwa na Mkuu wa Wialaya ya Kilombero wakati wa uwekwaji wa Jiwe la msingi

Habari
Kilele cha Adhimisho la Misa ya Shukrani ya Mavuno Dekania ya Mlimba

Adhimisho la Misa ya Shukrani ya Mavuno Dekania ya Mlimba

Habari
UPADRISHO PAROKIA YA MKULA

Mhashamu Askofu Salutaris Libena pichani Pamoja na Pd. Bundala mara baada ya Kupata Daraja Takatifu la Upadri

Habari
Ibada ya Hija na Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Kutukuka kwa Msalaba

Jimbo Katoliki Ifakara kwa mara ya kwanza limekutana na kufanya Ibada ya Hija ya Kijimbo na Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Kutukuka kwa Msalaba katika Parokia ya Bikira Maria Bibi yetu wa Kiberege