Baba Askofu katika Jimbo Katoliki Ifakara
Bishop. Salutaris Melchior LibenaJimbo Katoliki Ifakara lilitengwa kutoka jimbo katoliki Mahenge tarehe 14 Januari 2012. Liliwekwa rasmi tarehe 19 Machi 2012. Askofu wa kwanza ni Mhashamu Salutaris M. Libena. Naibu wa Askofu ni Padre Hospitio Itatiro, Katibu Mkuu ni Padre Godfrey Hongo, Naibu Katibu Mkuu ni Padre Edwin Lyanga na Mtunza Hazina ni Sr. Patricia Mtunga.
Soma zaidikwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu;
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Yesu akajibu, akamwambia, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu.
Jimbo Ifakara linatoa huduma za kielimu kuanzia ngazi ya msingi, sekondari na pamoja na chuo kuu , huduma hiyo inatolewa katika kuunga mkono juhudi za serikari na mision kwa ujumla.
Soma zaidiJimbo Ifakara linatoa i huduma za kiafya ambozo hutolewa kwa ajili ya kusaidia watu kupata huduma za afya, kuzuia magonjwa, na kupata matibabu wanapopata magonjwa. Huduma hizi zinaweza kujumuisha upatikanaji wa dawa, wataalamu wa magonjwa sugu , chanjo, huduma za kliniki, na huduma za ushauri nasaha katika hospitali zetu ndani ya jimbo Ifakara
soma zaidiJimbo Ifaraka linatoa huduma za kidini kama ambavyo inayofanywa na taasisi nyingine za kidini au mashirika ya kibinadamu kwa lengo la kusaidia watu na jamii zinazohitaji msaada wa kibinadamu. Huduma hii inaweza kujumuisha kutoa misaada ya kibinadamu kama chakula, nguo, makazi, dawa, na huduma za afya, pamoja na kutoa mafunzo na elimu kwa watu katika maeneo ya vijijini au yaliyo mbali na miji.
Soma zaidiTaarifa fupi inayoonesha idadi ya parokia na vituo vinavyotoa huduma za kijamii Jimbo la Ifakara
Zoezi la Upandaji Miti Miaka 10 Ya Benignis Girls Sec Shool
Misa ya Upadrisho na Ushemasi Kanisa kuu la Mt.Andrea Ifakara
Mhashamu Askofu Salutarisi Libena pamoja na baadhi ya wawakilishi wa watoto 116 waliopata Kipaimara