Kutokana na mabadiliko ya Mitaala , Jimbo linatoa mafunzo na Semina kwa wakuu wa Taasisi na shule zilizopo chini ya Jimbo Katori ili kuwawezesha wakuu wa taasisi hizo kuendana na mabadiliko. Mgeni rasmi katika semina hiyo Dr.Eliya Kibga aliwasihi wakuu wa taasisi kuwahimiza watendaji wao kuanza kubadili namna na mbinu mbalimbali za ujifunzaji ili kumwezesha mwanafunzi kuhitimu akiwa na ujuzi utakaomwezesha kutatua changamoto mbali mbali zilizopo kwenye jamii kwa sasa.
Mahari pa tukio, Ifakara Tarehe 2023-02-25Kutokana na mabadiliko ya Mitaala , Jimbo linatoa mafunzo na Semina kwa wakuu wa Taasisi na shule zilizopo chini ya Jimbo Katori ili kuwawezesha wakuu wa taasisi hizo kuendana na mabadiliko. Mgeni rasmi katika semina hiyo Dr.Eliya Kibga aliwasihi wakuu wa taasisi kuwahimiza watendaji wao kuanza kubadili namna na mbinu mbalimbali za ujifunzaji ili kumwezesha mwanafunzi kuhitimu akiwa na ujuzi utakaomwezesha kutatua changamoto mbali mbali zilizopo kwenye jamii kwa sasa.
wasiliana nasiMisa ya Shukrani Kumuaga aliyekuwa Mkuu wa Shule Malecela Sekondari
Semina kwa wakuu wa Taasisi na shule zilizopo chini ya Jimbo