Kilombero/Morogoro Tanzania ifakaradiocese@gmail.com Ifakara Portal
Follow us:

Huduma za kiafya

Jimbo Ifakara katika kufanikasha hili ina jumla ya hosptali pamoja na vituo vya afya zipatao 12 ambazo katika hizo kuna dispensari pamoja vyuo vya afya .Huduma za kiafya ni muhimu sana kwa jamii kwa sababu zinawezesha watu kuwa na afya bora, kuendelea na shughuli zao za kila siku, na kuweza kuchangia katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Serikali na mashirika ya kijamii yanapaswa kuhakikisha kuwa huduma hizi zinapatikana kwa kila mwananchi bila ubaguzi na kuzingatia ubora wa huduma na ufanisi wa utoaji wa huduma hizo.

wasilisani