Kilombero/Morogoro Tanzania ifakaradiocese@gmail.com Ifakara Portal
Follow us:

Huduma za kielimu

Lakini pia jimbo ifakara lina toa kwa pamoja na mafunzo ya ufundi, mafunzo ya lugha, na mafunzo ya kitaalamu. Huduma za kielimu ni muhimu kwa kukuza ustawi wa kiuchumi na kijamii wa jamii, kwa kuwa watu wenye elimu wanaweza kushiriki katika uchumi, kuchangia katika maendeleo ya kijamii na kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi bora kuhusu maisha yao binafsi na ya kijamii. Jimbo Ifakara lina jumla ya shule 29 ambazo katika hizo kuna shule za msingi , sekondari pamoja na veta.

wasilisani